HAZINA YA PEKEE MAISHANI
SOMO 1;SIRI YA KAZI SEHEMU YA KWANZA
KAZI NI NINI? Ni aina yoyote ya shughuri aifanyayo mtu
inayoweza kumpatia cha kutosha kukidhi mahitaji yaketa kipatO
MPANGO WA MUNGU WA KAZI
MUNGU alikusudia mwanadamu afanye kaz hivyo kazi hivyo ebu
tuangalie je kazi imeanza lini katika biblia
KABLA YA ANGUKO
MWANZO 2:8,15
Kazi ilikusudiwa na mungu kuwa ni mbaraka tunaona kazi
aliyopewa aadamu na mungu ni kulima na kutunza bustani ambayo mungu aliianzisha
kule edeni hivyo kazi haikuletwa kkwa sababu ya dhami bali ulikua ni mbaraka wa
mungu kwa watu wake aliowaweka ktika bustani ya edeni
JE BAADA YA ANGUKO KAZI ILIIENDELEA?
NDIO HEBU TUSOME MWANZO 3:17 Mungu anasema utakula mazao
yako siku zako zot hivyo kwa usahidi huo kazi ilibaki kua mubaraka
MWANZO 3:19 Mungu anasema kwa jasho utakula hivyo baada ya
anguko magugu na miiba ilihus ishwa hivyo likawepo hitaji la kuongeza juhudi
katika kufanya kazimaana adamu aliambiwa kwa jasho lako utakula hivyo mtu
anapoacha kufanya kazi na kula bila jasho
huyo anakataa mpango wa mungu
Hivyo nikusihi ndugu yangu jishughurishe katika kufanya kaz
kilimo maana mungu mwenyew ndo mai maana ndio mpango wa mungu hasa katka kazi
za kilimo na kazi zote
FAIDA ZA KUFANYA KAZI
Kazi hutusaidia kupata mahitaji yetu ya lazma
Kazi ni mbaraka naliotupatia mungu
Kazi huimarisha afya zetu
Kazi hutusaidia kuwahudumia wengine
Comments
Post a Comment