MIKUTANO MIKUBWA YA INJILI INAENDELEA KATIKA ENEO LA VITONGA MLALI MOROGORO
TUCASA CHUO KIKUU MZUMBE WAKEINDESHA MIKUTANO YA INJILI KATIKA ENEO LA VITONGA
Tangu tarehe 4-marchi hadi tarehe 17-marchi 2018 vijana hawa watakua katika eneo la vitonga kwa ajili ya kutangaza habari nema za matumaini ambapo asomo mbalimbali yatakua yakitolewa na kuletwa mubashara kabisa kutakua n msomo yafuatayo
1:UJASIRIAMALI
2:AFYA
3:MASOMO YA NDOA
4:NENO LA MUNGU
5:MIANZO MIPYA NA MJUE MUNGU SERIES
masomo haya yataletwa na yanatolewa na watumishi wa MUNGU
Mr KELVIN (Ujasiriamali)
Ev: PATRICK AYOUB (Afya)
Pr: SULEIMANI(Ndoa)
Pr: ISACK NKYA(Neno la MUNGU)
Ev: MUYENGI BS Jr(Mianzo mipya na Mjue MUNGU series)
Nyote mnakaribishwa na kwa sababu hiyo MUYENGI ONE NIJUZE tutakua tunakusogezea habari hizi endelea kufuatana nasi
ubarikiwe
Comments
Post a Comment