HATIMAYE TUCASA KANDA YA MOROGORO WAWEKA WAKFU VIONGOZI WAO
Ilikua ni tukio la aina yake lililofanyika katika ukumbi wa Sua mazimbu chini ya viongozi wa kanisa na wachungaji akiwepo pastor Nkya na pastor MikaAngalia picha za matukio yot hapa
Baada ya ibada vijana wa yesu walipata mda wa kumtafakari MUNGU waooooooo
PICHANI NI VIONGOZI WASTAAFU CHINI YA PR NKYA NA DADA MARIAMU
MOTTO
imetupasa kuzifanya kazi zake yeye aliyetutuma ingali mchanaa
picha na BARAKA MUYENGI
Mbarikiwe
ReplyDelete