KONA YA INJILI
PICHA ZA MAHUBIRI YA TUCASA MZMBE
Pichani ni baadhi ya wfahudumu na wachungaji walioshiriki katika effort hii ya aina yake
vijana wa yesu wakiandaa huduma ya chakula
tukipanda milima ya urugurukuelekea maeneo ya effort
kwa namna yake watumishi wa mungu wakienda katika nyumba za watu kushuhudia
kwa afya bora chakula ni muhimu pia
baaadhi ya watu waliompokea yesu
NAENDELEA KUKUPATIA UPDATE HIZI
ENDELEA KUFUATILIA
Comments
Post a Comment