KONA YA INJILI PICHA ZA MAHUBIRI YA TUCASA MZMBE Pichani ni baadhi ya wfahudumu na wachungaji walioshiriki katika effort hii ya aina yake vijana wa yesu wakiandaa huduma ya chakula tukipanda milima ya urugurukuelekea maeneo ya effort kwa namna yake watumishi wa mungu wakienda katika nyumba za watu kushuhudia kwa afya bora chakula ni muhimu pia baaadhi ya watu waliompokea yesu NAENDELEA KUKUPATIA UPDATE HIZI ENDELEA KUFUATILIA